Kila mtu anaweza kuwa msafirishaji wa bidhaa, lakini si kila msafirishaji atakufikishia mzigo ukiwa salama kama inavyotakiwa ...
MWAKA huu, Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi wa sita utakaohusisha vyama vingi ambao utahusisha watu kujitokeza na ...
Panzi huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na rangi zake asilia zenye kufanana za zile za bendera ya Tanzania ...
Haji Ambari Khamisi ni mwanasiasa mkongwe katika siasa za vyama vingi na mara nyingi ametajwa kuwa mtu mwenye msimamo mkali, ...
“Niwape changamoto ya kukuza faida itokanayo na uwekezaji kutoka asilimia saba ya sasa kwenda zaidi ya asilimia 10 kwa mwaka. Na ili kufikia azma hii mnapaswa kuongeza ufanisi wa utendaji,” alisema.
TIMU ya Taifa ya Riadha ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), imetwaa ubingwa wa kilomita 10 upande wa wanaume ...
Sheria inayopendekezwa nchini Kenya dhidi ya mashoga inaweza kuigharimu nchi hiyo hadi dola bilioni 7.8 kwa mwaka. Haya ...
Timu pekee ya soka Tanzania iliyowahi kushiriki Fainali za Kombe la Dunia ni timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka ...
ASKOFU wa Kanisa la Ufunuo Tanzania ambaye anasimamia Mkoa wa Shinyanga Samawi Bendera amewataka watanzania kuishi kwa ...
NARUDIA kauli aliyosema winga wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva kuwa wanakwenda kuwashangaza Wamorocco ...
Njia hiyo ya reli inayofahamika kama Tazara, inatarajiwa kuwa njia kuu ya usafirishaji madini hasa ya shaba na Kobalt katika mataifa ya kusini mwa Afrika. Mwaka jana China ilitia saini kandarasi ...
Hamis Mwinjuma alikabidhi bendera ya Taifa kwa wachezaji wa Taifa Stars kabla ya safari hiyo kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Morocco inaongoza kundi E ikiwa na pointi 9 baada ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results