News

LIVERPOOL yaingia vitani na Man United na Arsenal kumnyatia Viktor Gyokeres baada ya ndoto za Alexander Isak kufifia ...
YANGA ina raha sana. Inatamba na ubingwa wa Ligi Kuu Bara iliyouchukua mbele ya mtani wao, Simba na mchezo huo ukawapa kitita ...
ARSENAL imefanikiwa kufikia makubaliano ya kumsajili kapteni wa Brentford, Christian Norgaard, kwa ada ya pauni 10 milioni ...
YANGA imetetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba, ...
VITA ya nani bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu imemalizika kibabe baada ya Yanga kuichapa Simba mabao 2-0, mjadala mkubwa ...
LILE pambano lililokuwa linapiga danadana hatimaye lilifanyika juzi kwenye Uwanja wa Mkapa pale Temeke. Katika mechi hiyo ya ...
Bonface Ambani, gwiji wa soka nchini Kenya na mchezaji wa zamani wa AFC Leopards, alizindua rasmi ilani yake ya kampeni ...
BAADA ya Mamelodi Sundown kutoka sare jana dhidi Flamengo ya Brazil, rasmi timu zote za Afrika zimeondoshwa katika mashindano ...
KITENDO cha kipa wa Simba, Moussa Camara kuruhusu mabao mawili katika mechi ya Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, kimemfanya ...
ONYO. Ndiyo. Mashabiki wamechoka na vurugu za mastaa wao na sasa wameamua kuwafungukia ‘live’ hawataki kuona au kusikia mambo ...
KATIKA harakati za kuhakikisha staa wao Nico Williams anabaki, ripoti zinaeleza Athletic Club inatarajia kuiripoti Barcelona ...
STAA wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo anatarajiwa kusaini mkataba mpya na Al Nassr ya Saudi Arabia ambao utamwezesha ...