News
Wydad Casablanca ya Morocco imeanza vibaya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu baada ya kuambulia kichapo cha mabao 2-0 kutoka Manchester City. Katika mchezo huo, Wydad ambayo anachezea kiungo wa ...
Ofisa Matekelezo mkuu wa NSSF Mkoa wa Manyara, Amina Kassim akisoma taarifa kwa waandishi wa habari ofisi kwake mjini Babati.
Unaweza kusema ni Jumatano ya mkono ambapo timu zote 16 zimekuwa kwenye viwanja nane tofauti kuendelea kusaka hatma kuelekea ...
Amesema sambamba na ukamataji huo, jumla ya pikipiki 28 zimekamatwa, ambapo tisa kati ya hizo hazina namba za usajili, na ...
Wabunge wa Tanzania wameibana Serikali kuhusu kodi na tozo katika gesi asilia wakitaka isicheze na hilo kwani ndiyo injini ya uchumi.
Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA) imetangaza kuwa, licha ya mafanikio ya kusajili jumla ya meli 973 za kimataifa ...
Kutokana na taarifa hiyo, Balozi Possi aliieleza Mwananchi kuwa Serikali ingetoa msimamo wa kidiplomasia kwenye vikao vya ...
Jeshi la Polisi limevunja ukimya kuhusu taarifa za matukio ya utekaji na mauaji likitoa ufafanuzi wa matukio kadhaa ...
Kutokana na taarifa hiyo, Balozi Possi aliieleza Mwananchi kuwa Serikali ingetoa msimamo wa kidiplomasia kwenye vikao vya ...
Hatima ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iko njiapanda sawa na ilivyo kwa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia ...

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimeitaka Serikali kutekeleza kwa umakini Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, ili kuwe na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results