MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameweka jiwe la msingi shule mpya ya sekondari Bumva katika Kijiji cha Bumva, Kata ya Segese, Halmashauri ya Msalala, iliyojengwa kwa gharama ya Sh. milioni ...
Mtu aliyebuni jina la nchi ya Tanzania, Mohammed Iqbal Dar mwenye asili ya India, amefariki dunia huko Birmigham, Uingereza akiwa na umri wa miaka 80. Amefariki usiku wa kuamkia leo nchini Uingereza a ...
Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa uwaziri katika Baraza la mawaziri la Tanzania, Tabitha Siwale amefariki dunia akiwa na ...
Mama na wanawe wawili wamekimbia katika nyumba waliyokuwa wakiishi na mumewe, Yangeyange Kata ya Msongola wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam.
"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Njia nzuri ya kuwapa pesa maskini ni kuwapa watoto wao elimu iliyo bora" Hongera sana DC Magoti kwa moyo wako huo wa kujitolea." @eveline2183 @RosemaryChristopher ...
Kwa mujibu wa Olengurumwa, watetezi wa haki za binadamu wa kizazi cha sasa, hasa wanawake, wanakosa uvumilivu katika kazi na ...
KUSHINDWA kupigwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam bado ni ...
Photos: Ayo TV. "Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Njia nzuri ya kuwapa pesa maskini ni kuwapa watoto wao elimu iliyo bora" Hongera sana DC Magoti kwa moyo wako huo wa kujitolea." "DC Magothi ...
Afisa huyo wa UNICEF alisema watoto walimkimbilia walipomwona huko Gaza. Aliripoti kwamba, huku wakimvuta mkono wake, wanauliza iwapo mapigano yataanza tena na ni kwa nini misaada zaidi ...