CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kimetangaza kuanza ziara za ya siku 47 mpaka kufikia Mei mwanzoni ili kuwaelimisha wananchi msimamo wao kuhusu uchaguzi. Kimetangaza kuanza ziara hizo, ...
KUNA masuala kwenye jamii, kulingana na utamaduni hayazungumziki hadharani, ingawa zipo changamoto hasa kiafya. Tendo la ndoa kwa wenye uhusiano na rasmi kwenye ndoa, linatafsiriwa kiimani na ...
Katika taarifa iliyotolewa leo mjini Geneva Uswisi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, (UNHCR) limeonya kuwa ukata mkubwa wa fedha unakwamisha juhudi za kibinadamu katika Jamhuri ya ...
Dodoma. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) iliyopo jijini Dodoma imefanya operesheni ya kwanza ya ubongo kwa kutumia teknolojia ya mawimbi ya sauti (High-intensity Focused Ultrasound -HIFU) na ...
Serikali inatarajia kuzindua mfumo mpya wa kidijitali kwa usajili wa waandishi wa habari ili kuboresha utaratibu wa utoaji wa vitambulisho na kuhakikisha unalingana na maendeleo ya kiteknolojia katika ...
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) inatarajia kutoa ajira kwa vijana hasa katika tasnia ya habari, mara baada ya kukamilika kwa mradi wa jengo jipya na mtambo wa uchapishaji magazeti ...
Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg, MVD ambao ulisababisha vifo vya watu 10 mkoani Kagera. Tangazo hili limetolewa baada ya vipindi ...
Rome. Wakati Papa Francis alipokuwa akipokea matibabu ya nimonia kali katika mapafu yote mawili, mwanamitandao (TikToker) wa Italia anayeitwa, Ottavo aliingia katika wodi moja ya Hospitali ya Gemelli ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results