WAKATI jina la Prof. Mohamed Janabi, likitangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika.
Serikali imewaita kazini walimu wapya 319 wa fani mbalimbali, ambapo halmashauri saba zimenufaika na kuongezewa nguvu kazi hiyo mpya katika sekta ya elimu. Taarifa ya kuitwa kazini kwa walimu hao ...