Haya yanajiri wakati huu wakuu kutoka Jumuia ya Afrika mashariki EAC na SADC, wakendeleleza juhudi za kupatikana kwa amani na usalama mashariki mwa DRC. Soma zaidi mada inayofanana: ...
Baada ya DRC kujiunga na Jumuia ya Afrika Mashariki sepyemba 2, 2023, Tanzania iliondoa utaratibu wa malipo ya Visa kwa raia wa DRC kwa matarajio DRC ingefanya hivyo pia. DRC ni mshirika mkubwa wa ...